Crude Oil Pipeline-EACOP

TANGAZO KWA WAGUSWA WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI (EACOP) AMBAO HAWAJAWASILIANA NA MRADI KATIKA MKOA WA KAGERA ENEO LA KASKAZINI

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

UTANGULIZI

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ni bomba LitakaLosafirisha mafuta yaliyozalishwa kutoka uwanda wa mafuta wa Ziwa Albert nchini Uganda mpaka bandari ya Tanga, nchini Tanzania ambapo baadae mafuta hayo yatasafirishwa na kwenda kuuzwa kwenye masoko ya kimataifa. Bomba la mafuta litafukiwa chini ya ardhi na litatandazwa urefu wa kilometa 1,443 kuanzia Kabaale katika Wilaya ya Hoima, nchini Uganda, mpaka Rasi ya Chongolean), Mkoa via Tanga nchini Tanzania. ambapo asilimia 80 ya urefu via bombs hilo ipo nchini Tanzania.

Kampuni ya Mradi wa EACOP inasimamia zoezi la utwaaji wa ardhi kwa ushirikiano na Shirika la Petroli Tanzania (TPOC) wakifanya kazi kwa pamoja na Mamlaka zingine za Serikali katika Mikoa 8 yaani Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Oodoma, Manyara na Tanga. Zoezi la Uthamini wa Mali za Walioguswa na Mradi katika Mkuza wa Bombs lilifanyika mwaka 2018/2019.

Ardhi inatwaliwa kwa ajili ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Zoezi la kuonyeshwa stahiki pamoja na utiaji saini mikataba ya fidia linafanyika kwa walioguswa na mradi kabla ya malipo ya fidia ya ardhi na mali zilizoguswa na mradi kwa mujibu via taarifa zilizochukuliwa wakati wa zoezi la uthamini wa uwandani.

Mradi wa EACOP unaendesha zoezi la kuonyeshwa stahiki pamoja na kusaini mikataba ya fidia kwa kipindi cha takribani miezi saba sass. Kutokana na baadhi ya walioguswa wa mradi kutokuwepo wakati wa zoezi la kuoneshwa stahiki, kwa hiyo EACOP Ingependa kukutana nao ili waweze kukamilisha zoezi hilo. Tangazo hili ni kwa ajili ya kuwaomba Walioguswa na Mradi ambao hawajaoneshwa stahiki za fidia pamoja na kusaini mikataba ya fidia kujitokeza haraka iwezekanavyo.

TANGAZO

Ardhi inatwaliwa kwaajili ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ndani ya Wilaya, Kata na Vggi vifuatavyo katika Mkoa wa Kagera-Kasikazini:

Uonyeshwaji wa stahiki na utiaji sahihi wa mikataba ya fidia unafanywa kwa Walioguswa wa Mradi kabla ya malipo ya fidia ya ardhi na mall zilizoguswa na Mradi kama ilivyorekodiwa wakati wa Uthamini wa uwandani. Walioguswa via Mradi wafuatao wanaombwa kuwasiliana na Mradi wa EACOP iii waweze kuoneshwa stahiki zao, kutia sahihi mkataba via fidia ili malipo ya fidia yaweze kufanyika. Walioguswa wanaweza kuwasiliana na mRadi wa EACOP kupitia:

• Mratibu wa Mahusiano yaJamii wa Mradi ADOLF NDUNGUYE – 0744197 768

• Piga simu bila makato kupitia namba [0800780068]

• Barua pepe [ [email protected]] au

• Wasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa

Walioguswa na Mradi ni lazima wawe na nyaraka muhimu ambazo ni fomu za uthamini walizopewa wakati wa zoezi la uthamini pamoja na vitambulisho. Nyaraka zitakaguliwa na timu ya Mradi iii kuhakiki usahihi wa utambulisho wao na kuthibitisha kama kweli ndiyo walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki

Walioguswa wanaombwa kuwasiliana na Mradi wa EACOP haraka iwezekanavyo.

ORODHA YA WALIOGUSWA KWA KUZINGATIA KIJIJUHTAA WANAOOHBWA KUWASILIANA NA MRADI WA EACOP NI:

• [Aneth Kokuteta Rwenza]. Kilili cha Mabuye. Kata ya Kassambya

• [Petronila Petro Rwebangulaj, Kilgi cha Kassambya. Kata ya Kassambya

• [Chrisostom Rafael Tibaijuka], Kijui cha Nyabihanga, Kata ya Kassambya.

• [Richald Felician Kagya], Kggi cha Nyabihanga, Kata ya Kassambya.

• [Daniel Banyenza Nyankane], Kin cha Mugajwale, Kata ya Mugajwale.

• [Prasp Ndiamukama Kilzostom]. Kipp cha Mugajwale. Kata ya Mugajwale.

• [Revina Nestory Frederick], Kipp cha Mugajwale, Kata ya Mugajwale.

• [Jonasan Mugisha Rwizaj, Kggp cha Kyaitoke, Kata ya Kyaitoke.

• [Regina Elia Lwakatare], Kulp cha Kyaitoke, Kata ya Kyaitoke.

• [Leonidas Kamjoni Mfuluki ], Kggi cha Kobunshwi. Kata ya Mugajwale

• [Murishidi Hausi Murishid]. Kulp cha Kobunshwi, Kata ya Mugajwale.

• [ Sarumon Kazahura Sauro]. Kijui cha Kobunshwi, Kata ya Mugajwale.

• [Claudia Shubila Philbert], Kgili cha Kamuli, Kata ya Kibirizi.

• [Kayesu Adrin Erka]. Kulp cha Kamuli, Kata ya Kibirizi.

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related