Crude Oil Pipeline-EACOP

TANGAZO KWA WAGUSWA WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI (EACOP) AMBAO HAWAJAWASILIANA NA MRADI KATIKA MKOA WA SINGIDA

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

UTANGULIZI

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki MACON ni bomba litakayosafirisha mafuta yaliyozalishwa kutoka uwanda wa mafuta wq Ziwa Albert nchini Uganda mpaka bandari ya Tanga, nchini Tanzania ambapo mafuta baadae yatasaf irishwa na kwenda kuuzwa kwenye masoko ya kimataifa. Bomba la mafuta litafukiwa chini ya ardhi na litatandazwa urefu wa kilometa 1.443 kuanzia Kabaale katika Wilaya ya Hoima, nchini Uganda. mpaka Rasi ya Chongoleani. Mkoa wa Tanga nchini Tanzania, ambapo asilimia 80 ya urefu wa bomba hilo ipo nchini Tanzania.

Kampuni ya Mradi wa EACOP inasimamia programu ya utwaaji wa ardhi kwa ushirikiano na Shirika la Petroli Tanzania (TPDC)wakifanya kazi kwa pamoja na Mamlaka zingine za Serikali katika Mikoa 8 yaani Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Oodoma, Manyara, na Tanga. Zoezi la Uthamini wa Mali za Walioguswa na Mradi katika Mkuza wa Bomba lilifanyika mwaka 2018/2019.

Ardhi inatwaliwa kwa ajili ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Zoezi la kuonyeshwa stahiki pamoja na utiaji saini wa mikataba ya fidia linafanyika kwa walioguswa wa mradi kabla ya malipo ya fidia ya ardhi na mall zilizoguswa na mradi kwa mujibu wa taarifa zilizochukuliwa wakati wa zoezi la uthamini wa uwandani.

Mradi wa EACOP unaendesha zoezi la kuonyeshwa stahiki pamoja na kusaini mikataba ya fidia kwa kipindi cha takribani miezi saba sasa Kutokana na baadhi ya watu walioguswa na mradi kutokuwepo wakati wa zoezi la kuoneshwa stahiki zao, hivyo basi, EACOP Ingependa kukutana nao iii waweze kukamilisha zoezi hilo. Tangazo hill ni kwa ajili ya kuwaomba Walioguswa na Mradi ambao hawajaoneshwa stahiki za fidia pamoja na kusaini mikataba ya fidia kujitokeza haraka iwezekanavyo.

TANGAZO

Ardhi inatwaliwa kwaajili ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ndani ya Wilaya. Kata na Vimi vifuatavyo katika Mkoa wa Singida:

Uoneshwaji wa stahiki na utiaji sahihi wa mikataba ya fidia unafanywa kwa Walioguswa na Mradi kabla ya malipo ya fidia ya ardhi na mali zilizoguswa na Mradi kama ilivyorekodiwa wakati wa Uthamini wa uwandani.

Walioguswa na Mradi wafuatao wanaombwa kuwasiliana na Mradi wa EACOP ili waweze kuoneshwa stahiki zao, kutia sahihi mkataba wa fidia na malipo ya fidia yaweze kuendelea kufanyika. Walioguswa wanaweza kuwasiliana na mradi wa EACOP kupitia:

  • Mratibu wa Mahusiano ya Jamii wa Mradi JOSEPHAT KANYUNYU0629742134 na FURAHA COMORO0698807072
  • Piga simu bila makato kupitia namba [0800780068]
  • Barua pepe [email protected] au
  • Wasiliana na Mwenyekiti wa Kilip/Mtaa

Walioguswa wa Mradi ni lazima wawe na nyaraka muhimu ambazo ni fomu za uthamini walizopewa wakati wa zoezi la uthamini pamoja na vitambulisho. Nyaraka hizo zitakaguliwa na timu ya Mradi iii kuhakiki usahihi wa utambulisho wao na kuthibitisha kama kweli ni ndiyo walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki.

Walioguswa wanaombwa kuwasiliana na Mradi wa EACOP haraka iwezekanavyo.

ROCHA YA WAN WALIOGUSWA KWA KUZINGATIA KIJIJI/PITAA WANAOOMBWA KUWASILIANA NA MAW WA EACOP NI:

  • [Nowa Singu Moshio]- Kipp cho Kinkungu. Kota ya Mtoo,
  • [Sold’ Jumonne Kitundu] – Kipp cha Tyeme, Kato yoMroa
WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related