TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI-(22POST)

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Uongozi wa kampuni ya STRATEGIC BUSINESS SOLUTIONS LIMITED (SBS) ya Dar es Salaam
Tanzania, wakishirikiana na kampuni ya TotalEnergies EAST AFRICA MIDSTREAM B.V.
wanapenda kuwatangazia wananchi wote nafasi za kazi katika ujenzi wa nyumba za makazi kwaajili
ya Waguswa wanaohamishwa ili kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP). Nyumba zitajengwa katika wilaya za mikoa ifuatayo: Missenyi na Muleba, KAGERA; na
Bukombe, GEITA.

NAFASI ZA KAZI NI KAMA IFUATAVYO:

1. Fundi Chuma Nafasi 2

2. Fundi Seremala Nafasi 2

3. Wasaidizi wa Mafundi Nafasi 18

SIFA ZA MWOMBAJI:

1. Awe ni raia wa Tanzania aneishi na kufanya shughuli zake nchini.

2. Umri wa miaka 18 na kuendelea

3. Awe tayari kufundishwa na mwenye nidhamu ya kazi.

TARATIBU ZA MAOMBI:

Barua za maombi ziwasilishwe katika Ofisi za

STRATEGIC BUSINESS SOLUTIONS LIMITED

PLOT NO. 291, KUNDUCHI INDUSTRIAL AREA, IPTL ROAD, TEGETA

S.L.P 105933, DAR ES SALAAM TANZANIA.

Muda wa kazi kuanzia saa 02:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni, Jumatatu hadi Ijumaa.

Au kwa barua pepe:
[email protected]
MWISHO WA KUWASILISHA MAOMBI NI TAREHE 22 DISEMBA 2021, SAA 11:00 JIONI.

“KIPAUMBELE KITATOLEWA KWA WANANCHI WOTE WALIOPO KARIBU NA ENEO LA
MRADI”

Imetolewa na Idara ya Rasilimali Watu:

Jackline Mganga

MENEJA RASILIMALI WATU

TANGAZO HILI LIMETOLEWA LEO TAREHE 02/12/2021

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU: +255 782 479 988

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related