‘JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA A! ng
OFISI YA RAIS i
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO TAREHE: 1606/2022
TANGAZO LA UPANGISHWAJI WA MAENEO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO YALIYOPO HAZINA, DODOMA JIJI
Mikurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Chamwino anakaribisha maombi ya upangishwa wa
maeneo yalipo Hazina Dodoma Jiji, Blk mo. 27 Plot 298, 278, 296 & 297, 285, 289, 290, 291
na 300. maeneo haya yapo karibu na Gereza la [sanga yamatazamana na barabara kuu ya
kuelekea Innga, na yamepimwa na yote yana hat.
Mmakaritishwa wananchi wote, wawekezaji, vikundi, wafanyabiashara, wajasiriamali au
kampnuni kutuma maombi ya kuomba kupangisha mojawapo ya eneo hilo, katika maombi hayo
mwombaji anatakiwa kutaja kazi’ shughuli’ uwekezaji au biashara anayotaka kufanyia hapo na
koasi gani atakacholipa kwa Halmashauni kwa miezi sita (6) au zaidi.
MASHARITI YA KUPANGISHA ENEO HILO NI KAMA IFUATAVYO:-
1. Waombaji wanatakiwa kuwasilisha maombi yao kwa MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO, SL.P 1126 CHAMIWINO, DODOMA
2. Maombi yaletwe kwenye bahasha iliyofungwa vizuri pamoja na nakala moja, ya
keuandika juu ya bahasha ulichoomba, na mwisho wa kuwaulisha maombi hayo ni tarehe
22/06/2022 saa 08:30 mchana. Maombi hayo yatapokelewa ofisi ya manunuzi kuanzia saa
2:00 Asubuhi mpaka 9:30 Alasiri siku za kazi.
3. Mvwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 22/06/2022 saa nane na nusu (08: 30) mchana
na ndiyo siku na muda wa ufunguzi wa maombi hayo, Maombi yatakayochelewa hayatapokelewa wala kufimgul:wa.
4. Waombaji au wawakilishi wa waombaji wanaruhusiwa knbudhona zoezi la ufunguzi.
5. Siku ya kukagua maeneo ni siku ya Jumatatu tarehe 20/06/2022 kuanzia saa 4:00 Asubuhi
hadi saa 7:00 Mchana, kwa mawasiliano piga namba +255 755 621 951 324 / +255 756
582 245
6. Uwe umeambatansha vifuatavyo:-
1) Leseni hai
u) Tax Clearance
i) VAT TIN Certificate
Is) Current Bank statement” ya miezi mitatu
Sifa za wombaiji.
(a] Uwe na umri usiopungua miaka kumi na nane.
(b) Uwe mwamunifu na mwadilifu.
Limetolewa na,
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO