LOGO

Tangazo la Zabuni Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUMBULI

TANGAZO LA ZABUNI

TAREHE 15/07/2019

HALMASHAUTI YA WILAYA YA BUMBULI inawatangazia wananchi wote wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba inauza viwanja kwaajili ya matumizi mbalimbali kama vile Benki, Hotel, Petrol Stantion, Makazi na Bishara

Viwanja hivyo vipo eneo la Kwehangala amabapo ndio makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ilipo

Vipimo vimeonyeshwa katika Jedwali hapo chini kwa Mujibu wa Tangazo hili kwa Viwanja vya zabuni atakaye toa ofa kubwa ndio atapewa kipaumbele, hii kwamujibuwa Sheria ya manunuzi Na. 7 Kanuni ya 151

A) VIWANJA VYA ZABUNI

  • Mnunuzi anatakiwa kufika ofisi ya manunuzi Halmshauri ya Wilaya ya Bumbuli na kununua nyaraka za zabuni hiyo kwa gharama ya shilingi 50,000/= kwa viwanja vya benki , petrol statiion na hotel ambayo haitarudishwa
  • Mnunuzi anaruhusiwa kuja kuona viwanja vilipo kwa kipindi chote cha zabuni mwisho wa kuonyeshwa viwanja ni siku moja kabla ya kufunga zabuni
SN MATUMIZI KIWANJA NO UKUBWA WA KIWANJA(Sqm)
1 Petrol station Plot no 146 Block A kwehangala Area Bumbuli District 3,017
2 Benki Plot no 172 Block A kwehangala Area Bumbuli District 1,387
3 Hotel Plot no 158  Block A kwehangala Area Bumbuli District 1,380
4 Hotel Plot no 200 Block A kwehangala Area Bumbuli District 1,532

Nyaraka ifungwe ndani ya bahasha na kuandikwa Juu

KATIBU WA BODI YA ZABUN,
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUMBULI,
S.L.P 111,
BUMBULI

Mwisho wa kujaza nyaraka hizo ni tarehe 30/07/2019 saa 5:30 asubuhi na ufunguzi utafanyika siku hiyihiyo manunuzi anaruhusiwa kushuhudia ufunguzi kama atapenda

B). VIWANJA VYA BIASHARA

  • Mnunuzi anatakiwa kufika ofisi ya ardhi hlamshauri ya wilaya ya Bumbuli na kununua form kwa gharama ya shilingi 20,000/= kwa viwanja vya makazi na biashara makazi pekee na amabyo haitarudishwa
SN MATUMIZI BEI KWA KILA Sqm
1 BIASHARA PEKEE Tshs 3,000
2 MAKAZI PEKEENA BIASHARA Tshs 2,500
3 MAKAZI PEKEE Tshs 2,000
4 TAASISI ZA DINI Tshs

MWISHO WA KUPOKEA MAONI ni tarehe 30/07/2019 saa 5:30 asubuhi na ufunguzi utafanyika siku hiyihiyo manunuzi anaruhusiwa kushuhudia ufunguzi kama atapenda

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related