LOGO

Tangazo la Zabuni Kuendesha maduka na Huduma ya Kurudufu Katika Kampasi ya Bagamoyo

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ELIMU , SAYANSI NA TEKNOLIJIA

WAKALA WA MAENDELEO YA UONGOZI WA ELIMU

TANGAZO LA ZABUNI

ZABUNI YA KUEDESHA MADUKA NA HUDUMA YA KURUDUFU (CONSUMABLE SHOPS AND SECRETARIAL SERVICES) KATIKA KAMPASI YA BAGAMOYO KWA MWAKA YA FEDHA 2019 -20202 NA 2010-2021

Mtendaji Mkuu wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEMI) anawatangazia wananchi wenye uwezo wa kutoa huduma za maduka na huduma za kurudufu katika maduka manne yaliopo katika akampasi ya Bagamoyo kwa muda wa miaka miwili kuanzia tarehe 01/08/2019 hadi tarehe 30/06/20121 kama ilivyoaninishwa hapo chini

Nafasi zilizotangazwa kwa kipindi hicho ni kama zifuatavyo

ZABUNI YA MIAKA MIWILI

Namba ya zabuni Jina la zabuni
EA/O14/2019/2020/NC/02 Ukodishwaji wa maduka (Consumable shops)nafasi 2 (lot 1& 2)
EA/O14/2019/2020/NC/03 UKODISHWAJI WA MADUKA YA KURUDUFU (Secretarial Services) Nafasi 2 (Lot 1&2)

MASHARTI YA MWOMBAJI
i) Awe na kampuni au jina la biashara iliyosajiliwa na Mmlaka husika
ii) awe na leseni, TIN na VAT hai ya biashara usika
iii) Awe na risiti ya EFD iliyosajiliwa na Mamlaka ya Mapatao (TRA) kwa jina hai la bishara au kampuni husika
iv) ada ya maombi ya zabauni ni Tshs 50,000/= kwa zabuni ambazo hazitarudishwa
v) Wafanyabiashara wenye mikataba na wakala wa Manunuzi ya Umma (GPSA) Kwa huduma hizo watakuwa na sifa za nyongeza japo sio kigezo cha lazima
vi) Hairuhusiwi kuomba zaidi ya mara moja
vii) Waombaji wanaruhusiwa kukagua maeneo ya bishara kabla ya kununua kabrasha la zabuni

Vitabu vya zabuni na maelezo mengine vinapaikana ofisi ya Mtendaji Mkuu – ADEM, S.L.P 71, BAGAMOYOBarabara ya Milemebe Misafa, Mkabala na Kanisa Katoliki (Kitengo cha ununuzi na Ugavi) kuanzia saa 3.00 asubuhi mpaka saa 9.00 alasiri Jumatatu- Ijumaa isipokuwa siku za sikukuu kwa malipo yasiorejeshwa ya shilingi 50,000 kwenye akaunyi ya ADEM Kwa kutumia namba ya kumbukumbu 991250003022 kwa benki yoyote na kuwasalisha nakala ya benki ya malipo kwa kupatiwa risit (Bank deposit slip)

Nyaraka za maombi ziwe na nakala mbili pamoja na nakala halisi moja iliyogungwa ka Lakiri, iandikwe juu ya bahansha namba NA JINA LA ZABUNI ILIYOOMBWA NA LOTI NAMBA na zitumbukizwe katika sanduku la zabuni lililoko ofisi ya Manunuzi (PMU) KAMPASI YA BAGAMOYO baada ya kusajiliwa ziwe na anuani ifuatayo MTENDAJI MKUU ADEM,S.L.P 71 BAGAMOYO

Mwisho wa kupokea maombi ya zabuni ni tarehe 26/07/2019 saa tano na nusu asubuhi siku ya Ijumaa. Zabuni zitafunguliwa muda huo huo katika ukumbi wa mikutano wa bodi ya (MAB) Uliopo Kampasi ya Bagamoyo na waombaji mnakaribishwa katika ufunguzi kwa agharama zenu

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related