LOGO

Tangazo la Zabuni Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA

TANGAZO LA ZABUNI

Halmashauri ya Wilaya ya lgunga inawatangazia, Makampuni, watu binafsi ,ushirika , Taasisi au vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria, wenye nia na uwezo wa kuingia mikataba ya huduma ya ukusanyaji mapato yatokanayo na madini ujenzi na usafishaji na uzoaji taka ngumu.

NambaChanzoNamba ya zabuni
1Huduma ya Usafishaji na Uzoaji taka ngumuLGA/123/2o1972520/NCT/01
2Huduma ya ukusanyaji mapato yatokanayo na madini ujenzi   LGA/123/2019/2020/NCT/02

MASHARTI YA MAOMBI YA ZABUNI

Mzabuni anaruhusiwi kuomba zaidi ya zabuni moja kwa uwezo wake kila zabuni inajitegemea.

  • Nyaraka ya zabuni inapatikana baada ya kulipa ada ya kila za’buni husika ambayo ni tshs 100,000/= ada hiyo haitarejeshwa kuanzna. §aa 1.30 asubuhi hadi saa 9.30 alasili kwa siku jumatatu hadi ijumaa Isnpokuwa siku za sikukuu.
  • Mwombaji aambatanishe-Kivuli cha stakabadhi ya ada ya maombi ya zabuni ‘
  • Mwombaji aonyeshe nyezo za usafiri alizonazo, idadi ya wafanyakazi na uzoefu wao.pia mwombaji aoneshe uzoefu alionao katika kaZI anayoomba.
  • Mwombaji aandike juu ya bahasha na kwenye barua ya maombi aina na namba ya zabuni anayoomba. Juu ya bahasha kusiandikwe wala kuwekwa alama yoyote zaidi ya jina la zabuni, namba ya zabuni, na anuani ya Mkurugenzi.
  • Mwombaji yeyote atakayeshindwa masharti ya zabuni atakuwa amejiondoa katika ushindani.
  • Mwombaji asiwe na deni lolote analodaina na Halmashauri ya Wilaya lgunga wala Taasisi nyingine ya serikali.
  • Mwombaji asiwe amefungiwé kufanya kazi na mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA)’au mamlaka nyingine.
  • Mwombaji anatakiwa aambatanishe kivuli cha Ieseni ya biashara iliyo hai, kivuli cha usajili wa kampuni ( kama mwombaji ni kampuni), Usajili wa VAT/TIN na power of attorney kwa mtu binafsi aoneshe affidavit iliyopitishwa na hakimu au Mwanasheria
  • Halmashauri ya Wilaya hailazimiki kuchagua zabuni yeyote na ina’uwezo wa kufuta zabuni kabla au baada ya mchakato wa zabuni kukamilika.
  • Zabuni zote zitumwe zikiwa zimefungwa ndani ya bahasha iliyofungwa ipasavyo. Juu ya bahasha ioneshwe aina ya zabuni na namba. Zabuni zitumwe kwa Mkurugenzi kwa anuani ifuatayo:

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya
Halmashauri ya Wilaya ya lgunga
s.L.P 19 IGUNGA

Kwa maelezo zaidi fika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya lgunga, Kitengo cha Manunuzi.

Maombi ya zabuni yatumbukizwe ndani ya sanduku lilopo katika ofisi ya Kitengo cha Manunuzi , Mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 16/07/2019 saa 4.00 asubuhi waombaji au wawakilishi wote. wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni. Utakaofanyika katika ofisi ya kitengo cha Manunuzi.

Revocatus L .Kuull
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA.
MKURUGBNZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA IGUNGA
Source; Mwananchi

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related