HALMASHAURI YA MANTSPAA YA ILALA
TANGAZO LA ZABUNI
UWAKALA WA UKARABATI, UENDESHAJI NA UKUSANYAJI WA USHURU KATIKA VYOO VYA HALMASHAURI
Namba ya Zabuni: LGA/015/IMC/2019-2020/HQ/NCS/34
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala inakusudia kuweka Mawakala wa kukarabati, kuendesha na kukusanya ushuru wa vyoo vya Halmashauri kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala inapenda kuwaalika watu Binafsi Makampuni, Ushirika, Taasisi au Vikundi vya watu ViliVyosajiliwa kisheria, wenye nia na uwezo wa kufanya kazi hizo kutuma maombi yao kwa Zabuni zifuatazo
SN | ENEO LA ZABUI | AINA ZA KAZI | LOT |
1 | SWAHLI/MBA RUKU | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 1 |
2 | MCHIKICHINI 1 | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 2 |
3 | KONGO NA MBARUKU | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 3 |
4 | LUMUMBA (kituo cha tax) | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 4 |
5 | ILALA SOKONI | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 5 |
6 | LUMUMBA/MKUNGUNI | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 6 |
7 | MNAZI MMOJA MASHUJAA | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 7 |
8 | KARUME | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 8 |
9 | SWAHILI/MKUNGUNI | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 9 |
10 | SOKO LA TABATA | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 10 |
11 | AMANA/UHURU | UKARABATI NA UENDESHAJI | LOT 11 |
Zabuni hii itaendeshwa Kwa mujibu wa sheria na kanuni za manunuzi ya Umma (Bidhaa, ujenzi, huduma zisizo za kiushauri sheria namba 07 (2011) na kanuni zake za mwaka, 2013 G.No 446 na marekebisho yake yam wake 2016.
wazabuni wote wanaokusudia kuomba zabuni hizi na walio na sifa zinazotakiwa wanaweza kuflka na kupata taarifa zaidi pamoja na kukagua nyaraka za zabuni husika ofisini kwa katibu wa Bodi ya Zabuni ya Halmashauri kwa gharama zao wenyewe kuanzia jumatatu saa 2:00 asubuhi hadi Ijumaa saa 9:30 jioni isipokuwa siku za siku kuu tu.
Nyaraka za zabuni zimcandaliwa kwa lugha ya Kiswahili na zinauzwa Tsh 50.000/=.Kabla ya kuchukua fomu ulapaswa kulcta bama kwa anwani tajwa hapo chini ukieleza unahitaji zabuni gani. Pesa ya maombi ya zabuni hazitarudishwa.
Maombi yote yajazwe kwa makini na yaambatanc na nakala mbili (original + copies) na yafungwe vizuri kwa rakili ndani ya bahasha na yatumwe kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala S.L.P 20950 Dar es salaam kabla ya tarehe 22 Octoba 2019 saa 4.00 Asubuhi . Zabuni zitafunguliwa siku hiyo hiyo saa 430 Asubuhi mbelc ya waombaji wote/wawakilishi wao watakaopenda kuhudhuria katika tafrija ya ufunguzi itakayofanyika katika Otisi za Manunuzi zilizopo Kamata Karibu na Mkuki House.
Juu ya bahasha iandikwe ajna ya zabuni na namba yake iliyoombewa na SIYO JINA LA MWOMBAJI: Mfano: UWAKALA WA UENDESHAJI WA CHOO CHA UMMA KILICHOPO KONGO MBARUKU. “ZABUNI NA. LGA/015/2018-2019 HQ/NCS/18 LOT2
Zabuni Zimkazochelewa kufika kwa muda uliopangwa. schcmu ya Zabuni zitakzuotumwa kwa njia ya elektronic. cg fax. email nk. zabuni ambazo hazikufunguliwa biku ya ufunguzi na zabuni ambazo hazikupokelewa huzimkubaliwa kufanyiwa tathmini bila kujali mazingira yeyote.
Halmashauri haitalazimika kuguwa zabuni yoyote kwa mtu yeyote aliyefanyiwa tathmini na kuonekana ndiye aliyetaja kiwango cha juu au cha chini cha pesa.
Tathmini itazingalia vixezo vyote vilivyopo kwenye nyaraka ya zabuni. pamoja na bei kulingana na bajeti ya Halmashauri kwa mWaka wa fedha 2019/2020
Mzabuni awe na uzoefu wa kutosha na asiwe anadaiwa na Halmashauri
Mzabuni anatakiwa awe na usajili Wa Baraza la Afya ya Mazingira
Makusanyo yote yatawasilishwa Halmashauri na Mzabuni atalipwa kamisheni kutoka katlka makusanyo aliyowasilisha.
Jumanne K. Shauri
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala