TARURA

Tangazo la Zabuni Wakala wa Utozaji wa Ada ya Maegesho Vyombo vya Usafriri Kwenye Hifadhi ya Barabara Zilizo chini ya Tarura Jiji la Dar es Salaam

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI , (TARUR A) DAR ES SALAAM.

ZABUNI NA AE/092/2019-20/DSM/NC/10-LOT 1 YA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZILIZO CHINI YA TARURA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM: KANDA NAMBA 2: ILALA, TEMEKE NA KIGAMBONI

1. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam unakusudia kutumia huduma za Wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usaflri katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo chini ya usimamizi wake katika Jiji 1a Dar es Salaam.

2. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombi yao kwa ajili ya

ubuni ya Wakala wa Utozaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi Za Barabara Zilizo Chini ya TARURA Katika Jiji La Dar es Salaam; Kanda Namba 2: Ilala, Temeke na Kigamboni Zabuni Namba AE/092/2019-20/DSM/NC/10-LOT l. Mwombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

·         Mwombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Shcria za Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.

·         Mwombaji awe na ofisi ya kudumu anapofanyia kazi lake.

·         Mwombaji awe na leseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada za macgcsho.

·         Mwombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya Usaflri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali

·         Mwombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN)

·         Mwombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

·         Mwombaji awe na hati halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance) Mwombaji awe na taarifa za kifedha zi1izokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2016 hadi 2018.

·         Mwombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2016 hadi 2018.

·         Mwombaji awe na cheli cha OSHA kinachoonycsha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003

·         Mwombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) kwa r’nujibu wa Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitio la Mwaka 2015.

3. Zabuni zitashughulikjwa kwa maratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwcnye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

4. Waombaji Wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata marifa kamili kupitia makabrasha ya zabuni katika ofisi ya Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA_Mkoa wa DAR ES SALAAM kupitia anuani iliyotajwa kwenye kipengcle Na. 7 hapa chini kila siku kuanzia saa mbili kamili (02.00) asubuhi hadi saa Tisa na nusu (09:30) alasiri, Siku za Jumatatu hadi Ijumaa [isipokuwa siku 2a mwisho wa juma na siku za sikukuu zinazotambulika kimifa].

5. Mwombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni [Tender Securing Declaration] kwa muundo unaopalikana kwenyc kabrasha la zabuni,

6. Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya Shillingi Laki Moja tu (TZS 100,000.00) Kupitia akaunti-ya TARURA Collection Account, Na. 53010001080; NMB Tawi la Kambarage baada ya kupewa “CONTROL NUMBER” na TARURA DAR ES SALAAM. Mwombaji atatakiwa kuwasilisha nakala ya stakabadhi na barua ya maombi ya Zabuni husika. Malipo yaliyotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

7. Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwc ndani ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri na juu ya bahasha ziandikwc maclczo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani ifuatayo: Katibu wa Bodl Kasimu ya Zabunl TARURA Mkoa WI Dar es Salaam, S.L.P’ 9253, Dar es Salaam, Jengo la TTCL [Emlecoms Tower], Samara Avenue, Ghorofa ya Pili.

8. Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya zabuni ni tarchc 2/12/2019 Ikabla ya saa 05:00 asubuhi siku ya ljumaa. Zabuni zitafunguliwa hadharani mm In baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni. waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hizo ulakao fanyika siku hiyo kalika ofnsi ya Mratibu wa TARURA Mkoa wa DAR ES SALAAM.

9. Zabuni Litakazochelewa kuwasilishwa, zabuni za kielektroniki, na zabuni zisizofunguliwa katika tukio la ufunguaji zabuni. kwa hali yoyote ile hazitakubaliwa kwa lathmini.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI
NA MUINI TANZANIA (TARURA)
Tovuti: www.tarura.go.tz
Barua pepe: [email protected]

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related