TARURA

Tangazo la Zabuni ya Utozaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara za Halmshauri ya Manispaa ya Bukoba Mkoa wa Kagera

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI (TARURA) KAGERA

TANGAZO LA ZABUNI

ZABUNI NA : AE/092/2018/2019/KGR/NC/06 YA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA KATIKA MKOA WA KAGERA

TANGAZO LINARUDIWA

Wakaia wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) Mkoa wa KAGERA unakusudia kutumia huduma za Wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usaFIri katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo chini ya usimamizi wake katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.

Wakala wa Barabara za Wjijini na Mijini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombi yao kwa ajili ya zabuni ya Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usaliri Kwenye Hifadhi za Barabara Katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Zabuni Namba: AE/092/2018/2019IKGR/NC/06.

SIFA 2A MUOMBAJl: Muombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo

Awe Mtanzania

  • Muombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma. ~
  • Muombaji awe na mtaji usiopungua Shilingi Milioni Ishirini (20, 000,000.00) ambao umeainishwa kwenye Memoranda ya Kampuni (Memorandum and Articles of Association) au ushahidi kuwa kampuni iiiongeza mtaji wake.
  • Muombaji awe na ofisi ya kudumu anapofanyia kazi zake.
  • Muombaji awe na ieseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho.
  • awe na uzoefu usiopungua miaka miwiii kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya UsafIri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali.
  • Muombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Miipa kodi (TIN)
  • Muombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
  • Muombaji awe na hati halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance)
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2016 had12018.
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha ya benki (Bank Statement) ya kipindi cha kuanzia tarehe 1 January, 2018 mpaka tarehe 30 April, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua Shilingi $0,000,000.00 Milioni Hamsini. Taarifa hiyo iwe na ‘Certiiicate of Balance” kutoka katika Benki husika.
  • Muombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003
  • Muombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitio 1a Mwaka 2015. ‘
  • Muombaji awe na sifa njema ya kufanya kazi ya UwaRala wa kukusanya ada za maegesho ya vyombo vya usafIri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Manispaa na Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali
  • Asiyewahi kuwa na mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili kupitia makabrasha ya zabuni katika ofIsi ya Katibu wa Bodi kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa KAGERA kupitia anuani iliyotajwa kwenyejedwali hapojuu kila siku kuanzia saa mbili kamili (02.00) asubuhi hadi saa tisa (09:00) kamili alasiri, siku za Jumatatu hadi Ijumaa (isipolguwa siku za sikukuu zinazotambulika kitaifa).

Muombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni ( Bid Security declaration) inayopatikana 4 kwenye kabrasha la zabuni.

Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya Shillingi Laki Moja tu (TZS 100,000.00) Kupitia akaunti namba 53010001080 katika Benki ya NMB, TARURA Collection Account Muombaji atatakiwa kuwasilisha nakala haiisi ya hati ya malipo ya Benki ikiambatana na barua ya maombi ya Zabuni husika. Malipo yaliyotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani ifuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Kagera. S. L. P. 551, Mtaa wa NHC, kata ya kashai katika Manispaa ya Bukoba.

Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya zabuni ni tarehe 19.07.2019 kabla ya saa 04:30 asubuhi. Zabuni zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni, waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hizo utakao fanyika siku hiyo katika ofIsi ya Mratibu wa TARURA Mkoa wa KAGERA.

Wakala wa Barabara za Vljljlni na Mijini Tanzania (TARURA) hautalazimika kukubali/ kufokukubali kutoa zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana na kigezo cha malipo makubwa/malipo kidogo ya zabuni.

Zabuni zitakazochelewa kuwasilishwa, zabuni za kielektroniki, na zabuni zisizofunguliwa katika tukio la ufunguaji zabuni. kwa hall yoyote ile hazitakubaliwa kwa tathmini.

MHANDISI: AVITH THEODORY

MRATIBU WA MKOA WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA (TARURA)

Source; Daily News

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related