LOGO

Tangazo la Zabuni ya Wakala Wa Utozaji Wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara za Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji na Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoa Wa Kigoma

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA
MIJINI (TARURA) KIGOMA

TANGAZO LA ZABUNI

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI NA HALMASHAURI YA MJI WA KASULU MKOA WA KIGOMA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Kigoma unakusudia kutumia huduma la Wakala kUtOZéI ada za maegesho ya vyombo vya usafiri katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo chini ya usimamizi wake katika Halmashauri ya manispaa ya KigomalUjiji na Halmashauri ya Mji wa Kasulu.

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombi yao kwa ajili ya zabuni ya Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usaflri Kwenye Hifadhi za Barabara Katika Halmashauri zifuatazo;

Na. TARURA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI  
01 Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafln’ Kwenye Hifadhl za Barabara Halmashauri ya Manispaa ya ngoma/ujiji.   Zabuni Na. AE/092/2019/2020/KG/NC/01      
Na   TARURA HALMASHAURI YA MJI WA KASULU
02 Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usam Kwenye Hifadhi za Barabara Halmashauri ya Mji wa Kasulu.   Zabuni Na.AE/092/2019/2020/kG/NC/02  

SIFA ZA MUOMBAJI: Muombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo

  • Awe Mtanzania
  • Muombaji aWe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.
  • Muombaji awe na mtaji usiopungua Shilingi Milioni Mia Moja (Tshs;100,000,000.00)ambao umeainishwa kwenye Memoranda ya Kampuni (Memorandum and Articles of Association) au ushahidi kuwa kampuni iliongeza mtaji wake.
  • Muombaji aWe na 0051 ya kudumu anapofanyia kazi zake.
    Muombaji awe na Ieseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho.
  • Muombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya Usami kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mit ia hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali.
  • Muombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN number)
    Muombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT Certificate)
  • Muombaji awe na hati hai na halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (A valid Tax Clearance Certificate)
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kip‘mdi cha miaka mitatu kuanzia 2016 hadi 2018.
    (Muombaji awe na taarifa za kifedha ya benki (Bank Statement) ya klpindi cha kuanzia tarehe 1 Januari, 2018 mpaka tarehe 31 Mei, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua klasi kama ilivyoainishwa katika jedwali kwa kila Halmashauri atakayoomba Zabuni;
na JINA LA HALMASHAURI KIASI (TSHS)
01 Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/ujiji 50,000,000.00
02 Halmashauri ya Mji wa Kasulu 20,000,000.00

Taarifa hiyo iwe na ”Certificate of Balance” kutoka katika Benki husika.

  • Muombaji awe na cheti cha “OSHA” kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003
  • Muombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) kyva mujibu wa . Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitio la Mwaka 2015.
  • Muombaji awe na sifa njema ya kufanya kazi ya Uwakala wa kukusanya ada za maegesho ya Vyombo vya usaflri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Manispaa na Majiji au Taasisi za Serikali
  • Asiyewahi kuwa na mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushind‘ani wa kitaifa [National Cpmpetitive Bidding ulioainishwa kwenyé Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili kupitia makabraSha ya zabuni katika ofisi ya Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni’TARURA Mkoa wa Kigoma, kupitia anuani iliyotajwa kWenye jedwali hapo juu kila siku kuanzia saa moja na nusu (01.30) asubuhi hadi saa tisa na ”USU (09:30) alasiri, siku za Jumatatu hadi Ijumaa [isipokuwa siku za sikukuu zinazotambulika kitaifa].

Muombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni (Bid Securing Declaration) kwa muundo unaopatikana kwenye kabrasha la zabuni.

Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya Shillingi Laki Moja tu (T25 ‘3 100,000.00) Kupitia akaunti namba 53010001080 iliyopo katika Benki ya NMB,TARURA Collection ‘3 Account Muombaji atatakiwa kuwasitisha nakala halisi ya hati ya malipo ya Benki ikiambatana na 4 barua ya maombi ya Zabuni husika. Malipo yaliyotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri najuu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani ifuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Kigoma, S. L. P 140 Kigoma, kupitia Barabara ya Kasulu, karibu na 0051 ya TANROADS mkoa wa Kigoma

Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya zabuni ni tarehe 18/06/2019 kabla ya saa 04:30 asubuhi. Zabuni zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni, waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hlzo utakao fanyika siku hiyo katika oflsi ya Mratibu wa TARURA Mkoa wa Kigoma

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) hautalazlmika kukubali/ kutokukubali kutoa zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana na kigezo cha malipo makubwa/malipo kldogo ya zabuni.

Zabuni zitakazochelewa kuwasilishwa, zabuni za kielektroniki, na zabuni zislzofunguliwa katika tukio la ufunguaji zabuni, kwa hali yoyote ile hazitakuballwa kwa tathmini.

Mhandisi Africano Orota
MRATIBU WA MKOA -TARURA
KIGOMA.
Source; Daily News
Date; 05/06/2019

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related