
MAOMBI YA KUONESHA NIA YA UTOAJI WA HUDUMA ZA USANIFU NA UTEKELEZAJI WA UREJESHAJI WA MAKAZI NAMAZALIO YA MATUMBAWE KWA AJILI YA VIUMBEHAI WABAHARINI NA MIPANGO YA UREJESHAJI WA MAZINGIRA KATIKA HALI BORA ZAIDI MKOANI TANGA: KUMBUKUMBU NA: REQ-00000197
Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Ltd, L”EACOP LTD*)inakaribisha kampuni zenye uzoefu na weledi wa kutosha kuonesha nia ya kutoa huduma