TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

 

TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

DOWNLOAD PDF HERE

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 27 juni 01 Julai, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
i. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 27 juni 01 Julai, 2022
kama
ilivyooneshwa
kwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
ii. Kila Msailiwa anapaswa kunukuu kwa usahihi namba yake ya usaili
wa mchujona Vitendo, namba hizo
zitatolewa siku husika za usaili.
iii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa;

iv. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; 
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya
kusafiria;

v. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI na
Astashahada, itategemeana na sifa za Mwombaji
vi. Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results

DOWNLOAD PDF HERE

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related