LOGO

Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Utozaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI (TARURA) MKOA-KATAVI

TANGAZO LA ZABUNI

ZABUNI NA AE/092/2019/2020/KTV/NC/07 YA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA MKOA WA KATAVI

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Katavi unakusudia kutumia huduma za Wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usaflri katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo chini ya usimamizi wake katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda

maombi yao kwa ajiH ya zabuni ya Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Zabuni Namba AE/092/2019/2020/KTW NC/07

SIFA ZA MUOMBAJI: Muombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo

  • Awe Mtanzania
  • Muombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria 2a Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.
  • Muombaji awe na mtaji usiopungua Shilingi Milioni lshirini na tano (25,000,000.00) ambao umeainishwa kwenye Memoranda ya Kampuni (Memorandum andArtic/es ofAssociation) au ushahidi 3 ) kuwa kampuni iliongeza mtaji wake.
  • Muombaji awe na of151ya kudumu anapofanyia kazi zake.
  • Muombaji awe na leseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho.
  • Muombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2016 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya Usami kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali.
  • Muombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN)
  • Muombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
  • Muombaji awe na hati halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance)
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha K miaka mitatu kuanzia 2016 hadi 2018.
  • Muombaji avC/e na-taarifa za kifedha’ya‘ benki (Bank Statefnént) ya‘: kipindi cha kuanzia tarehe 15 Machi. 2019 mpaka tarehe 15 Mei, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua Shilingi Milioni Saba (Tshs 7,000,000 ) Taarifa hiyo iwe na ”Certificate of Balance” kutoka katika Benki husika.
  • Muombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003
  • Muombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitio (a Mwaka 2015.
  • Muombaji awe na sifa njema ya kufanya kazi ya Uwakala wa kukusanya ada za maegesho ya vyombo vya usafwi kwa niaba ya Mamlaka za Serikali 2a Mitaa hususani Manispaa na Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali
  • Asiyewahi kuwa na mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina ) yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili kupitia makabrasha ya zabuni katika 01351 ya Katibu wa Bodi Kasimu ya ZabuniTARURA Mkoa wa KATAVI kupitia anuani iliyotajwa kwenyejedwali hapo juu kila siku kuanzia saa mbili kamili (02.00) asubuhi hadi saa tisa (09:00) kgmili alasiri, siku za Jumatatu hadi Jumamosi [isipokuwa siku za sikukuu zinazotambulika kitaifa].

Muombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni unaopatikana kwenye kabrasha la zabuni.

Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya Shillingi Laki Moia tu (TZS 100,000.00) Kupitia TARURA Mpanda Town Council akaunti namba 61910020179 iliyopo katika Benki ya NMB,Muombaji atatakiwa kuwasilisha nakala halisi ya hat) ya malipo ya Benki ikiambatana na barua ya maombi ya Zabuni husika. Malipo yaliyotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

Zabuni zote ziwe na naka|a halisi (original) moja (1) na naka|a (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani 4! ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani 1fuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa KATAVI S. L. P. 111 Mpanda, Kawajense Compound Area, Building Plot 31 Block A

Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya zabuni ni tarehe 27/05/2019 kabla ya saa 04:00 asubuhi. Zabuni zitafunguhwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni, waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hizo utakao fanyika siku hiyo katika otisi ya Mratibu waTARURA Mkoa wa KATAVl.

Wakaia wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) hautalazimika ‘kukubali/ kutokukubali kutoa zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana na kigezo cha malipo makubwa/malipo kidogo ya zabuni.

Zabuni zitakazochelewa kuwasilishwa, zabuni za kielektroniki, na zabuni zisizofunguliwa katika tukio la ufunguajizabun1,kwa hali yoyote ile hazitakubaliwa kwa tathmini.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZAVUUINI NA MIJINI TANZANIA (TARURA)
Chanzo; Daily News
Date; 15/05/2019

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related